Nchini Kenya, mwanasiasa wa muungano wa Azimio na mgombea mara tano wa urais Raila Odinga amewasilisha kesi katika mahakama ya juu kupinga ushindi wa mpinzani wake William Ruto katika uchaguzi wa Agosti 9.