Maendeleo ya sanaa ya muziki wa injili nchini Tanzania
Katika makala hii mwandishi wetu wa Daresalaam nchini Tanzania Steven Mumbi amejaribu kumdodosa mwanamuziki wa nyimbo za Injili maarufu sana nchini Tanzania Goodluck Gozbert kujieleza kuhusu juhudi za kukuza sanaa ya kuimba nyimbo za Injili, na mchango wao kama wanamuziki katika kufanikisha kuboreshwa maisha ya kikristo na kijamii kama ambavyo wanafanya viongozi wa kidini