Maendeleo ya sanaa ya muziki wa kizazi kipya eneo la mashariki mwa DRC
Muziki ni sanaa inachipuka kwa kasi eneo la mashariki mwa DRC, wasanii wanafanya sanaa inakubalika miongoni mwa jamii inayosikiliza lugha adhimu ya Kiswahili, Ogisha Matale ni msanii wa kizazi kipya kutoka mji wa Goma,mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa nchi hiyo akielezea changamoto wanazokabiliana nazo wasanii katika kipindi hiki eneo lao likichukuliwa kuwa kitovu cha usalama mdogo. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.