Makala haya yanazungumzia mwezi wa francophonie, kuelekea siku ya kimataifa ya OIF
Karibu kuwa nami kwa mara nyingine tena katika Makala Changu Chako Chako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu mwezi wa la francophonie, na kwenye le parler francophone tutazungumzia tamasha lililoandaliwa na Alliance francaise ya Nairobi ya wasanii kutoka katika maeneo mbalimbali duniani waliojumuika katika kundi la Chansons sans frontieres.