Visa vya ajali za barabarani vimeendelea kuripotiwa katika mataifa ya Africa Mashariki kisa cha hivi punde kikiwa nchini Kenya, ambapo zaidi ya watu 34 wamefarki kutokana na hali mbaya ya barabara.
Nini Kifanyike kuzuia ajali za barabarani Africa mashariki ?