Masaibu ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania
Wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya wanalazimika kusafiri kutoka mikoa iliyopembezoni kuja jijini Dar es salaam ili kufanikisha safari yao kimuziki, Ramso High alilazimika kusafiri Kutoka Kigoma kuja jijini ili kufanikiwa kimuziki, swali ni je amefanikiwa?
Ungana na mwandishi wetu Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.