Mashindano ya Tour du Rwanda yaendelea kupamba moto
Raia wa Italia Manuele Tarozzi wa timu ya Green Project ameshinda mzunguko wa 7 wa mashindano ya kukimbiza Baiskeli ya mwaka 2023 ya Tour du Rwanda. Mashindano hayo yatakamilika siku ya Jumapili. Tutakuletea pia matokeo na uchambuzi wa mechi za kuwania taji la klabu bingwa Afrika katika mchezo wa soka.