Miaka miwili ya uongozi wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Ni miaka miwili sasa tangu rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, achuukue uongozi wa taifa hilo. Katika kipindi cha miaka hiyo tayari amefanya mageuzi makubwa ya kisiasa na kiuchumi kiasi cha kuvutia viongozi wa Afrika.
Unazungumziaje miaka miwili ya rais Samia madarakani?
Unaamini ameleta mabadiliko yaliotarajiwa na raia?