Idadi kubwa ya raia hapa Africa, bado wanatafuta huduma za afya kule ulaya kutokana na mifumo duni ya sekta ya afya barani Africa, kisa cha hivi punde kikiwa makamo rais wa Gambia, Badara Alieu, ambaye amefariki akitafuta matibabu nchini India.
Je nini kifanyike kuboresha huduma za afya Africa ?