Mapigano yaendelea kushuhudiwa nchini DRC, kati ya jeshi la serikali FARDC na waasi wa M23, serikali ya Kinshasa ikiendelea kushtumu nchi jirani ya Rwanda kuwaunga mkono waasi. Juhudi za mazungumzo hadi sasa hazijafua dafu.