Sign up to save your podcasts
Or

Mwishoni mwa wiki jana mjadala umeibuka kati ya wadau wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu nini kingekuwa cha kwanza kuwasilishwa bungeni, muswada wa marekebisho ya katiba au sheria za uchaguzi.
Ni mjadala ambao umewagawa hata wapinzani, ambapo chama kikuu cha upinzani Chadema chenyewe kinataka katiba mpya kwanza, huku vyama vingine vyenyewe vikisema sheria ya uchaguzi ianze.
Wachambuzi ni pamoja na Jawadu Mohammed kutoka Tanzania pia Dr. Nicodemus Minde akiwa nchini Kenya.
By RFI KiswahiliMwishoni mwa wiki jana mjadala umeibuka kati ya wadau wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu nini kingekuwa cha kwanza kuwasilishwa bungeni, muswada wa marekebisho ya katiba au sheria za uchaguzi.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners