Makala ya Wimbi la siasa juma hili, inaangazia Vijana na Uongozi, majadiliano haya yalifanyika mubashara (live) katika ukumbi wa Alliance Francaise jijini Nairobi, ambapo pia yalijumuisha wasikilizaji ambao walipata nafasi ya kuuliza maswali kwa wageni walioalikwa na mtayarishaji wa makala haya. Sikiliza zaidi...