Wimbi la Siasa

Msumbiji yaendelea kujipata kwenye mvutano wa kisiasa


Listen Later

Heri ya mwaka mpya wa mwaka 2025. Nchi ya Msumbiji bado ipo kwenye mvutano mkali wa kisiasa, baada ya uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka 2024.

Hali imeendelea kuwa mbaya baada ya Baraza la Katiba, kuthibitisha ushindi wa Daniel Chapo kutoka chama tawala FRELIMO, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais huku kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane, akiendelea kudai aliibiwa kura.

Watu zaidi ya 260 wamepoteza maisha, wengi wao wakipigwa risasi na polisi kwa mujibu wa mashirika ya kutetea haki za binadamu.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wimbi la SiasaBy RFI Kiswahili


More shows like Wimbi la Siasa

View all
Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners