Muziki wa taarabu unavyotia fora nchini Tanzania hadi sasa
Makala hii ni mwendelezo wa mazungumzo ya mwandishi wetu Steven Mumbi na msanii wa muziki wa taarabu nchini Tanzania Afue Maganga ambaye ameonesha kuwa Taarab ni nyimbo zilizosheheni majigambo hasa kwa wanawake wakitambiana, wake wenza kuibana wanaume na mambo mengine
Ungana na mwandishi wetu Steven Mumbi kupata mengi zaidi.