Leo tunatupia jicho nafasi ya wanawake kwenye siasa za bara Afrika.
Wiki hii siku ya Jumapili tarehe 19 rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anatimiza miaka mitatu madarakani, baada ya kuapishwa kuongoza nchi hiyo kama rais wa sita, na kuwa rais wa kwanza mwanamke.