Namna ya kuhifadhi ala na miziki ya kale nchini Kenya
Ala za muziki zilizokuwa zinatumiwa zamani katika mataifa mengi ya Afrika, zimeanza kusahaulika. Huko nchini Kenya, serikali kupitia makavazi ya Bomas of Kenya, inahifadhi ala, muziki ,na tamaduni za kale/zamani kwa lengo la kudumisha , kuhifadhi na kufundisha utamaduni wa nchi hiyo. Mengi zaidi ni katika Makala haya, yanayomshirikisha Mwandishi wetu Steven Mumbi na Victor Abuso.