
Sign up to save your podcasts
Or


Makala hii inaangazia historia ya mapinduzi ya Ufaransa, na pia mahojiano na mwalimu wa lugha ya kifaransa katika jiji la Nairobi nchini Kenya, lakini pia maonyesho ya muziki katika kituo cha utamaduni wa Ufaransa Alliance francaise ya Nairobi na katika muziki ni Popal Issevosi msanii aliyejikita katika kuhimiza juu ya namna ya kukinga mazingira huko DRC.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye anazungumza na Mwanahistoria aliyebobea Benjamin Babunga Watuna akiwa Brussels Ubelgiji
By RFI KiswahiliMakala hii inaangazia historia ya mapinduzi ya Ufaransa, na pia mahojiano na mwalimu wa lugha ya kifaransa katika jiji la Nairobi nchini Kenya, lakini pia maonyesho ya muziki katika kituo cha utamaduni wa Ufaransa Alliance francaise ya Nairobi na katika muziki ni Popal Issevosi msanii aliyejikita katika kuhimiza juu ya namna ya kukinga mazingira huko DRC.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye anazungumza na Mwanahistoria aliyebobea Benjamin Babunga Watuna akiwa Brussels Ubelgiji

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners