Rais wa DRC, Felix Tshisekedi, alitupilia mbali madai kuwa nchi yake huenda ikajiondoa kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki na kubakia SADC, siku chache baada ya matamshi yake akivikosoa vikosi vya EAC kushindwa kukabiliana na mkundi ya waasi.