Jumamosi iliyopita Rais wa Namibia Hage Geingob, alimtaja Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwa mgombea wa chama tawala SWAPO katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Ikiwa ataungwa mkono na kuchaguliwa atakuwa mwanamke wa tatu kuongoza nchi baada ya rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na Tanzania Samia Suluhu Hassan. Nini maoni yako kwa hatua hii? Unafikiri muda umefika kuendelea kutoa nafasi kwa wanawake kuongoza?