Sagna: Msani wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania
Sagna ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka kanda ya ziwa wanaofanya sanaa ya Muziki wa kizazi kipya, anapambana kufanikiwa licha ya changamoto. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.