Wasanii wa sanaa za majukwaani nchini Tanzania walia na ukosefu wa ajira hivyo kutumbukia katika kufanya kazi mbadala licha ya kusomea fani hiyo hadi ngazi ya Shahada,
Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Chimwenda Wilsaon msanii wa Sanaa za jukwaani nchini humo.