Urembo ni Sanaa nyingine inayowapa hadhi na Mvuto wasichana, Mbali na uzuri walio nao, uvaaji wa bangili hereni , Vvdani unaongeza kiwango cha Urembo, Medilama Robert ni mbunifu wa Urembo hasa kwa wakina dada.
Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Medilama Robert.