Wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya wanalazimika kusafiri kutoka mikowa iliyopembezoni kufika jijini Dar es salaam ili kufanikisha safari yao kimuziki.
Ramso High alilazimika kusafiri Kutoka Kigoma kuenda jijini ili kufanikiwa kimuziki, swali ni je amefanikiwa?
Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Msanii huyu katika makala ya nyumba ya Sanaa