Sanaa ya muziki wa injili Tanzania - Ambwene Mwasongwe
Mbwene Mwasongwe ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili waliofanikiwa kuivusha Sanaa hiyo kutoka kuwa na wapenzi wa aina moja na kuwa wa aina mbalimbali, sasa Sanaa hiyo imefanikiwa kuwatia moyo na hata kufufua matumaini kwa waliokata Tamaa.
Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Ambwene Mwasongwe.