Sanaa ya muziki wa taarab katika maendeleo ya jamii ya kisasa
Nyumba ya sanaa inakuletea vionjo vya muziki wa taarab tangu zama za kale, chimbuko lake lakini pia mchango wa sanaa ya muziki huu katika maendeleo ya jamii wakati huu ulimwengu ukiinukia teknolojia mpya, na mabadiliko ya mambo mengi.
Ungana na mwandishi wetu Steaven Mumbi na mgeni wake msanii wa Taarabu kule Tanzania Afua Suleimann Maganga