Ni furaha kubwa kukutana nawe Jumapili nyingine katikza Makala haya changu chako chako changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu historia ya waswahili wa Burundi. Na kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli kwenye Alliance francaise ya Nairobi, Dar es salaam na Alliance francaise ya Lubumbashi. Kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Burundi anaitwa Miraculos Lop. Mimi naitwa Ali Bilali mtangazji wako asiependa makuu. Bienvenue, ama Karibu