Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya pili ya Makala kuhusu historian a tamaduni la watu wa akbila la wapemba wa Kenya, na kwenye le parler francophone nitakujuza nini kinachojiri Alliance francaise ya Mombasa, Nairobi, Dar es salaam na Institut Francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ali Saleh kutoka nchini nchini Kenya wa kundi la Lafrik. Mimi naitwa Ali Bilali Binvenue ama karibu.