Siku kuu ya mashujaa nchini DRC ambayo huadhimishwa Januari 04 ya kila mwaka
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ikiwa ni mwisho wa wiki ya kwanza ya mwezi Januari, na leo tunazungumzia kuhusu siku ya mashujaa nchini DRC, tutaangazia pia shughuli za kitamaduni kwenye vituo vya Alliance Francaise ya ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Tayc