Karibu katika Makala Changu chako changu Jumapili ya leo ambapo tunazungumzia hasa kuhusu siku kuu ya mUziki ya Juni 21, na msanii Katoi wa Tabaka na kwenye le parler francophone tutazungumzia kuhusu tole la nne la kuheshimlisha wanamuziki wa Bongo Fleva linaloandaliwa na Alliance francaise ya Dar es salaam, na kwenye Muziki nitakiuletea muziki wa Kataoi wa Tabaka and the Mujikenda Jazz Band mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue et bon reveil matinale.