Siku mia moja za rais wa Kenya William Ruto ofisini na ahadi alizoahidi kutimiza ndani ya siku hizo
Disemba 22, rais wa Kenya William Ruto alitamatisha siku 100 ofisini, huku baadhi ya watu wakihoji kuhusu ahadi alizotoa kwa wakenya wakati wa kipindi cha kampeni na hata siku ya kuapishwa kwake.
Moja ya aahdi alizotoa inayomgusa mwananchi wa kawaida moja kwa moja, ni kupunguza gharama ya maisha kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula.