Sudan: Majenerali waendelea kupimana nguvu licha ya juhudi za kidiplomasia
Wiki hii kwenye Makala wimbi la siasa, Jupiter Mayaka anafanya mwendelezo wa mzozo unaoendelea nchini Sudan, wakati huu hali ya kibinadamu ikizidi kuwa mbaya, kutokana na raia kuuawa na misaada kutowafikia waathiriwa.