Sign up to save your podcasts
Or

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kitawachagua vongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho, Januari tarehe 21. Kibarua kigumu kipo kwenye ushindani wa nafasi ya Mwenyekiti.
Freeman Mbowe ambaye amekuwa akiongoza chama hicho kwa zaidi ya miaka 20 na Makamu wake Tundu Lissu, ni miongoni mwa watia nia waliojitosa kupambania nafasi hiyo.
Wawili hao wameendelea kutupiana maneno makali, na kuzua hofu kuhusu hatima ya chama hicho baada ya uchaguzi huo.
Thomas Kibwana ni mchambuzi wa siasa za Tanzania, akiwa jijini Dar es salaam, anachambua kwa kina.
By RFI KiswahiliChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kitawachagua vongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho, Januari tarehe 21. Kibarua kigumu kipo kwenye ushindani wa nafasi ya Mwenyekiti.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners