UHUSIANO WA UFARANSA NA NCHI ZA BURKINA FASO NA MALI
Msikilizaji katika miaka ya hivi karibuni, nchi ya Ufaransa, imeendelea kujikuta matatani na mataifa ambayo wakati mmoja iliwahi kuyatawala wakati wa ukoloni. Hata hivyo hivi karibuni uhusiano kati ya baadhi ya nchi hizo na utawala wa Paris, umekuwa ukizorota kuanzia Mali na sasa Burkina Faso.