Uingereza itawatuma maelfu ya wahamiaji haramu nchini Rwanda baada ya nchi hizo kutia saini mkataba wa maelewano.Hatua hii imelaaniwa na watetezi wa haki za binaadamu kote duniani.