Ukumbusho wa makala za mwaka 2022 katika Changu Chako Chako Changu
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu Tunaelekea kutamatisha mwaka 2022, Jumapili hii ninakukumbusha vipengele kadhaa vya makala tulivyozungumzia tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2022, kwenye historia, utamaduni, le parler francophone na Muziki. Mimi naitwa Ali Bilali.