Makala ya Nyumba ya Sanaa ya juma hili inakuletea muziki wa Bongo Fleva ambao sasa unachagizwa na vionjo vipya, wasanii wachanga wanajiimarisha kwa kubobea na kutoa ladha inayokonga nyoyo za wapenzi waliokata tamaa, kutana na Zack Muziki akizungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.