Nchi ya marekani ,imetangaza kuwarejesha wanajeshi wake nchini Somalia ,kusaidia kukabiliana na kundi la wanamgambo wa AL Shabaab,miaka miwili tangu mtangulizi wake Donald Trump awaondoe.