Wananchi wafurika kuhudhuria tamasha la kwanza la jiji la Nairobi, ama Nairobi Festival
Karibu kuwa nami Jumapili hii katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Tamasha la Nairobi ama Nairobi Festival na kwenye le Parlr francophone tutaangazia kinachoendelea kupitia Alliance Francaise z aunada kabla ya likizo ya mwisho wa mwaka, na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuziki Zuchu kutoka WCB nchini Tanzania. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.