Tunaangazia hatua ya kujizulu kwa Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok wiki hii. Kujiuzulu kwa Hamdok kumekuja muda mfupi baada ya kurejeshwa kwenye nafasi hiyo, baada ya kuafikiana na uongozi wa kijeshi chini ya Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, aliyemwondoa madarakani mwezi Oktoba mwaka 2020.