Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Wimbi la Siasa episodes

  • Wimbi la Siasa - Kampeni za DRC zakumbwa na vurugu
    Siku 10 kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, mauaji yameripotiwa katika kampeni za siasa hasa katika mikutano ya Martin Fayulu, mgombea vya vyama upinzani lakini pia kuteketea moto kwa jengo la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa. Tunajadili hili kwa kina.
    10 min
  • Wimbi la Siasa - Rais Salva Kiir agoma kuunda mahakama maalum Sudan Kusini
    Serikali ya Sudan Kusini imetupilia mbali wito uliotolewa na Umoja wa Mataifa pamoja na Umoja wa Afrika wa kutaka serikali hiyo iunde mahakama maalum ya kushughulikia watuhumiwa wa makosa ya uhalifu wa kivita yaliyotekelezwa katika kipindi cha mapigano yaliyozuka mwaka 2013 ikiwa ni miaka miwili tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka Sudan. Je unajua kwa nini Serikali ya Sudan Kusini imegoma kutekeleza woto huo? Fuatilia Makala ya Wimbi Siasa na Victor Robert Wile kujua kulikoni?
    11 min
  • Wimbi la Siasa - Jean Pierre Bemba hatihati kugombea Urais DRC
    Majina ya wagombea Urais ya awali yametangazwa huku Jean Pierre Bemba akienguliwa na yeye kuapa kukata rufaa kugai haki yake wakati Tume huru ya Uchaguzi CENI ikidai hawezi kugombea kutokana na kesi yake katika mahakama ya ICC. Je unafikiri hali itakuaje na nini hatima ya kiongozi huyo wa upinzani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata undani wa suala hilo.
    11 min
  • Wimbi la Siasa - Mgogoro wa Sudan Kusini bado kitendawili hata bada ya kusainiwa kwa mkataba
    Hali ya Sudan Kusini bado ni tete hata baada ya kusainiwa kwa makataba wa amani wa mwisho wakati huu kukiendelea kushuhudiwa mapigano katika baadhi ya maeneo nchini humo. Je suala la kupatikana kwa amani nchini Sudan Kusini linakwamishwa vipi na nani wa kulaumiwa kama mkataba mpya amani hautatekelezwa? lakini nini mustakabali wa taifa hilo changa? Makala ya Wimbi la Siasa kupitia kwa Mtayarishaji na Mtangazaji wako Victor Robert Wile inakupa picha nzima kuhusiana na Sudan Kusini.
    10 min
  • Wimbi la Siasa - Tume Huru ya Uchaguzi DRC, CENI yatangaza majina ya wagombea Urais
    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi CENI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC, Corneille Nangaa ametangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Disemba 23 mwaka huu huku wanasiasa wa upinzani Jean Pierre Bemba na mwenzake Moise Katumbi wakikosa nafasi ya kugombea kutokana na sababu mbalimbali. Je unataka kujua nguvu ya upinzani inasimama katika nafasi gani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa.
    11 min
  • Wimbi la Siasa - Rais Salva Kiir atangaza kamati ya mpito
    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ameteua tume ambayo itaratibu mchakato wa kuundwa kwa serikali ya mpito ambayo baadaye itakaa madarakani kwa miaka mitatu kabla ya kufanyika uchaguzi wa kidemokrasia, je hatua hiyo itakua mwarobaini wa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuleta amani ya kudumu? Ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa.
    10 min
  • Wimbi la Siasa - Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura
    Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo CENI, imepata mitambo ya kieletroniki kuwatambua wapiga kura wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.
    Je, mitambo hii itsaidia Uchaguzi huo kuwa huru na haki ? Tunajadili hili na mbunge wa Francois Rubota kutoka muungano unaomuunga mkono rais Joseph Kabila, Majorite Preidentielle, lakini pia Naibu Katibu Mkuu wa chama Kikuu cha upinzani UDPS Reubens Mikindo.
    11 min

About Wimbi la Siasa

From the publisher's feed

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe…

More shows like Wimbi la Siasa

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners