Jetpack Compose ni toolkit ya kisasa kutengeneza native Android UI. Imejikita katika declarative programming model, ambayo inakupa wepesi kwa kusema tuu unataka UI yako ionekanaje, na Compose itafanya mengi kwa ajili yako wakati app inabadili state, na UI yako itajiupdate automatically.
Kwa kuwa imetengenezwa na Kotlin, basi inafanya kazi vizuri kabin na Java Programming Language na kutoa direct access kwa APIs zote za Android na Jetpack. Pia iko compatible na existing UI toolkit, so hapa unaweza mix and match classic (zile za XML) and new views na imetengenezwa kwa Material Theme pia animation kama zote vile tokea awali tuu.
For the best experience developing with Jetpack Compose, nakushauri pakua sasa the latest canary version of Android Studio Preview. Kwa sasa Jetpack Compose iko kwenye Beta Version iliyotoka Mwezi wa Pili tarehe 24, na sasa ipo Beta 5 wakati narecord chapisho hili.
Sasa kaa tayari tuanze pita code kwa Kotlin na Jetpack Compose, tupia like na subscribe sasa.