Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Habari RFI-Ki episodes

  • Marekani : Yamzuia refa wa Somalia kuingia nchini humo

    Mwamuzi kutoka nchini Somalia Omar Abdulkadir, amezuiwa kuingia nchini Marekani, alikokuwa ameteuliwa na Shirikisho la soka duniani, FIFA kuchezesha mechi za kombe la dunia,  kutokana na kile utawala wa rais Trump umemhusisha na maswala ya ugaidi

    Skiza makala haya kufahamu maoni ya mskilizaji wetu.

    10 min
  • Uchafuzi wa mazingira baharini ni kikwazo

    Leo dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya Bahari, siku inayolenga kuhamasisha umuhimu wa bahari katika maisha ya binadamu na mazingira.

    Hata hivyo, bahari zinakabiliwa na changamoto kubwa ikiwemo uchafuzi wa plastiki, mabadiliko ya tabianchi na uvuvi haramu, katika siku hii tunakuuliza.

     

    Unadhani hatua gani zinazopaswa kuchukuliwa ili kupunguza uchafuzi wa bahari?

    Skiza makala haya kufahamu maoni ya waskilizaji wetu.

    10 min
  • Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yana umuhimu gani nchini mwako

    Karibu kwenye kipindi cha habari Rafiki ,mada ikiwa  kuhusu maadhimisho ya siku ya mazingira duniani  ambayo yatafanyika Ijumaa,huku kauli mbiu ikiwa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa.

    Tumekuuliza, serikali ya nchi yako inafanya vya kutosha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ?

    Na je , sekta binafsi na wananchi wanapaswa kufanya nini sasa,ili kuimarisha mazingira,,karibu tuandamane pamoja .

    11 min
  • Wakenya walazimika kutembea baada ya magari ya uchukuzi wa umma kugoma.

    Siku ya Jumatatu uchukuzi ulitatizwa nchini Kenya kufuatia mgomo wa wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma kupinga ongezeko la bei ya mafuta.

    Hii ni baada ya serikali kupandisha Lita moja ya Petroli kufikia Shilingi za nchi hiyo 214 huku ile ya Dizeli ikifikia Shilingi 242.

    Tumemuuliza mskilizaji wetu anzungumziaaje kilichotokea nchini Kenya na nchini mwake hali iko je kuhusu bei ya mafuta.

    10 min
  • Umejiandaa aje kujikinga na mlipuko mpya wa virusi hatari vya Ebola?

    Shirika la afya duniani limetangaza hali ya dharura ya kiafya duniani kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebola mashariki mwa DRC, ikizitaka nchi kuchukua tahadhari kufuatia hofu ya ugonjwa huo kusambaa zaidi.

    Tumemuuliza mskilizaji wa RFI Kiswahili akiwa DRC na kwenye ukanda wa Afrika Mashariki anachukua hatua gani kujikinga.

    10 min

About Habari RFI-Ki

From the publisher's feed

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

More shows like Habari RFI-Ki

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners