
Sign up to save your podcasts
Or


Mkutano wa Afrika forward unaoongozwa na Ufaransa umeanza leo jijini Nairobi ambapo karibia marais 30 ,kutoka barani Afrika wanatarajiwa kuudhuria ili kujadili ushirikiano katika sekta ya uchumi wa buluu, mazingira ,afya na kilimo.
Mkutano huu umetoa kipaumbele ka ajenda zinazowahusu vijana, na hasa matumizi ya teknolojia, akili unde au AI na namna vijana wanaweza kukumbatia fursa katika sekta hizo.
Sheria kama hiyo pia inatumika na Urusi, inakosolewa na wanaharakati wa haki za kibinadamu huku wapinzani wakisema inawalenga, kwa sababu ya kukosoa utawala wa rais Ypweri Museveni.
Unazungumziaje sheria hii mpya nchini Uganda ?
Rais Samia Suluhu Hassan, anataka Kenya na nchi yake ya Tanzania kushirikiana ili kukabili uanaharakati wa 'kuvuka mipaka' kutoka kwa vijana wa Gen Z ambao ameelezea unatishia amani na usalama wa nchi nchi za Afrika Mashariki.
Unazungumziaje kauli hii ya rais Samia? Unadhani ni sahihi kwa vijana kuadhibiwa kwa kushinikiza mabadiliko kwenye nchi zao?
Kenya na Tanzania zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote visivyo vya kikodi vya kibiashara, ili kuimarisha ushirikiano wa kibiashara.
Unaamini yaliyokubaliwa kati ya nchi hizo mbili yatatekelezwa ?
Msikilizaji mei 3 2026 dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya Uhuru wa wanahabari, ripoti zikionesha ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari.
From the publisher's feed
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners