Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Maandamano ya upinzani nchini Kenya, DRC mauaji ya Okende yalipangwa asema Ambongo
    Makala hii imeangazia kuhusu maandamano yaliyoitishwa na wapinzani nchini Kenya, ziara ya rais wa Hungary nchini Tanzania, lakini pia uchunguzi kuhusu mauaji ya Cherubin Okende, mwanasiasa mshirika wa karibu wake Moise Katumbi, aliyeuawa katika mazingira tatanishi katika mji mkuu wa Kinshasa, nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo lakini pia siasa za kikanda, na mambo mengine duniani..
    21 min
  • Wapinzani nchini DRC watoa tamko kuhusu kifo cha Okende, maandamano nchini Kenya
    Makala hii imeangazia ripoti mbali mbali za waandishi wetu lakini kubwa ni kuhusu mauaji ya kuvizia dhidi ya mwanasiasa wa upinzani na mshirika wa karibu wake Moise Katumbi kule DRC pamoja na kauli ya Upinzani nchini Kenya kuhusu maandamano kuendelea juma lijalo, kule Sudan mapigano bado yaendelea, ICC yasema inafuatilia visa vya uhalifu dhidi ya binadamu, nchini Senegeal, mpinzani Ousmane Sonko ateuliwa na chame chake kuwa mgombea wa urais, na mambo mengine mbali mbali
    21 min
  • Polisi wa Kenya watawanya maandamano ya upinzani, M23 na ripoti ya EU DRC
    Makala hii imeangazia maandamano yaliyofanyika jijini Nairobi na maeneo mengine nchini Kenya, siku ya Kiswahili duniani, lakini pia ripoti ya umoja wa Ulaya kuhusu vita ya M23 mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, mapigano ya Sudan na matukio mengine kwengineko duniani ..Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi.
    21 min
  • Waombahifadhi kutumwa Rwanda, kinyume cha sheria: Mahakama, miaka 63 uhuru wa DRC
    Makala hii imeangazia hatua ya mahakama ya London Uingereza kuhusu waomba hifadhi kwamba ni kinyume cha sheria na kwamba Rwanda si salama huku Rwanda ikisema itakata rufaa  wahamiaji walioko nchini humo. Maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa DRC na mkutano wa Luanda Angola kuhusu amani ya mashariki ya Nchi hiyo, imeangazia pia yaliyojiri nchini Kenya, Uganda, Sudan an Ethiopia na kwengineko duniani.
    21 min
  • Mkutano kuhusu madeni na mabadiliko ya tabianchi watamatika Paris Ufaransa, usalama DRC
    Makala hii imeangazia mkutano wa kimataifa unaolenga kutafuta mwafaka kuhusu namna ya kubadili mfumo wa ufadhili wa kifedha na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwenye mataifa yote ya dunia. Shambulio liliotekelezwa na waasi wa Uganda ADF dhidi ya shule moja laua 42, na mkataba wa kibiashara kati ya Kenya na Umoja wau laya, mchakato wa uchaguzi nchini DRC na pia yaliyojiri kwenye mataifa mengine duniani..
    21 min
  • Ziara ya marais wanne wa Afrika huko Urusi na Ukraine, mauaji ya wakimbizi 46 DRC
    Makala hi imeangazia ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika huko Ukraine na Urusi, Nchi za Jumuia ya Afrika mashariki wiki hii zilisoma Badgeti zao za mwaka wa 2023/2024, Ripoti ya Shirika ya kimataifa la haki za binadamu kuhusu kundi la waasi wa M23 mashariki mwa DRC mauaji ya katika kambi ya wakimbizi huko Ituri, tumeangazia pia yaliyojiri kule Khartoum Sudan, kwengineko Afrika na duniani
    21 min
  • Wizara ya mambo ya ndani yasitisha shughuli za CNL Burundi, msako makazi ya Katumbi DRC
    Hatua ya rais wa Rwanda Paul Kagame kufanya mabadiliko katika vyombo vya usalama na jeshi nchini mwake, viongozi wa COMESA wakutana jijini Lusaka nchini Zambia, msako mkali ulifanyika katika makazi ya Moise Katumbi na mshauri wake nchini DRC, tumeangazia yaliyojiri nchini Kenya, Uganda, na hali ya mapigano kule Sudan Khartoum, na pia Afrika magharibi na kwengineko duniani! Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza mengi zaidi
    21 min
  • Kikosi cha EAC chaongezewa muda wa kuhudumu DRC, mapigano yaendelea Sudan
    Makala hii imeangazia hatua ya viongozi wa Jumuia ya Afrika mashariki kukiongezea muda wa miezi sita kikosi cha Jumuia hiyo kuhudumu kwa ajili ya kupatikana kwa amani ya mashriki mwa DRC, nchi za magharibi na Marekani zasikitikia hatua ya Uganda kupinga Ushoga, ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi Lavrov jijini Bujumbura Burundi, hali ya mapigano kule Sudan Khartoum, lakini pia yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi na mkutano wa Moldova na mapigano ya Ukraine. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi
    21 min
  • Ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi China, mradi wa umeme wa Uganda na Tanzania
    Katika makala ya yaliyojiri wiki hii, tunaangazia habari kuu za dunia, matukio ya wiki hii ikiwa ni pamoja na  ziara ya rais wa DRC Felix Tshisekedi huko China, Uganda na Tanzania zilizindua bwawa la pamoja la kuzalisha umeme wa megawati 16, katika mto Kagera eneo la Kikagati, miaka 60 tangu kuundwa kwa Umoja wa Afrika AU, hali ya mapigano kule Sudan Khartoum, lakini pia eneo la Afrika magharibi na mapigano ya Ukraine ni miongoni mwa mengi yaliyomo
    21 min
  • Wafanyabiashara wa Kariakoo Tanzania wakutana na waziri mkuu, hali Sudan yatisha
    Katika makala ya Yaliyojiri wiki Hii, tunaangazia baadhi ya habari kuu za dunia matukio ya wiki hii katika miongoni ikiwa ni pamoja na  mgomo wa wafanyabiashara katika soko la kimataifa la Kariakoo jijini Daresalaam nchini Tanzania, DRC na Rwanda zilikubaliana kutengeneza mazingira kwa wakimbizi wa pande zote kurejea makwao, Hali ya kisiasa na nchini Sudan, lakini pia yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi na Mkutano wa G7 huko Japani ni miongoni mwa mengi utayasikia
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners