Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Mafuriko yasababisha maafa mengi nchini Rwanda na maeneo mengine ya Afrika
    Makala hii imeangazia matukio mengi ya wiki hii lakini kubwa ni kuhusu maafa yaliyoripotiwa huko Rwanda na nchini DRC katika mafuriko yaliyosababisha maporomoko ya ardhi baada ya mvua kubwa kunyesha maeneo kadhaa, maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari tukiangazia kwa namna ya pekee mazingira ya wanahabari wa mashariki ya DRC hali nchini Sudan, yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi, kutawazwa kwa mfalme Charles wa 3 na mambo mengine kwengineko duniani.
    21 min
  • Hali ya usalama nchini Sudan yaboreka, mkuu wa jeshi la EAC DRC forces arejea Nairobi
    Makala imeangazia hali inavyoendelea nchini Sudan baada ya usitishwaji wa mapigano uliokubaliwa na pande zinazokinzana, ziara ya rais wa Rwanda Paul Kagame nchini Tanzania,hali ya usalama wa mashariki kule DRC, na tukio la moto kwenye gereza  la Bukavu, mkoani Kivu kaskazini, nchini Kenya Kulifukuliwa miili kadhaa ya wakristo waliokufa wakifunga baada ya mchungaji wao kuwaaminisha kufunga hadi kufa ili waonane na YESU,Tumeangazia yaliyojiri pia katika eneo la afrika magharibi na kwengineko duniani,
    21 min
  • Hali ya usalama yazidi kuzorota Sudan, sheria dhidi ya ushoga bungeni Uganda
    Makala hii imeangazia mapigano na hali inavyoendelea nchini Sudan, na miito ya kusitishwa mapigano, muswada wa sheria unaopinga ushoga ulirejeshwa bungeni wiki hii, na kuanza kwa mazungumzo kati ya wajumbe wa muungano wa Upinzani wa Azimio nchini Kenya na wajumbe wa rais wa Kenya William Ruto nchini, tumeangazia yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi na kwengineko duniani
    21 min
  • Siasa za Kenya, DRC na Uganda zaungana dhidi ya ADF, miaka 29 baada ya mauaji ya Rwanda
    Makala hii imeangazia mpango wa kufanyika mazungumzo kati ya upinzani na serikali nchini Kenya kusuasua, ziara ya rais wa Kenya William Ruto nchini Rwanda, wakuu wa majeshi ya DRC na Uganda wapongeza operesheni Shujaa huko Beni, raia wa Senegal, waliadhimisha miaka 63 tangu wapate uhuru wao kutoka kwa Ufaransa, kwengineko aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, alifikishwa mahakamani jijini New York, ziara ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini China kuishawishi Urusi kuachana na vita vya Ukraine, na mambo mengine.
    21 min
  • Maandamano ya upinzani nchini Kenya yashika kasi, Uganda yatuma wanajeshi wake DRC
    Kubwa katika makala hii ni kuhusu maandamano ya upinzani nchini Kenya, ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Tanzania, wiki hii wanajeshi wa Uganda waliwasili kwenye mji wa Bunagana mashariki mwa DRC, lakini pia muswada wa sharia unaohusu uraia kwa mtu anayetakiwa kuwa kwenye wadhifa wa rais  kuzua hisia mseto. Hukumu dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal; Ziara ya mfalme Charles wa 3 wa Uingereza huko Ujerumani, na mambo mengine...
    21 min
  • Rais Tshisekedi awateua Bemba na Kamerhe kuwa Mawaziri
    Miongoni mwa yale utakayosikia, ni hatua ya rais wa DRC Felix Tshisekedi kumteua Jean Pierre Bemba kuwa Waziri mpya wa Ulinzi na Vital Kamerhe kuwa Waziri wa Uchumi, maandamano ya upinzani nchini Kenya na makabiliano ya waandamanaji na polisi nchini Ufaransa kupinga mageuzi ya mfumo wa pensheni.
    21 min
  • Bunge la Angola laidhinisha kupelekwa kwa wanajeshi DRC, maandamano nchini Kenya
    Miakala hii imeangazia hatua ya bunge la Angola kuidhinisha kutumwa kwa wanajeshi 500 wa nchi hiyo mashariki mwa DRC, hali ya wasiwasi nchini Kenya, kufuatia wito wamaandamano kupinga ugumu wa maisha kama ulivyoitishwa na kinara wa upinzani wa Azimio Raila Odinga, watu zaidi ya 300 wauawa na kuwaacha maelfu bila makaazi katika kimbunga Freddy kule Malawi, kesi ya mwanasiasa wa upinzani Ousmane sonko kule Senegal, mvutano kuhusu suala la mageuzi ya pensheni nchini Ufaransa, ni miongoni mwa mengi utakayoyasikia.
    Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners