Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Mwafaka wa amani ya DRC wapatikana jijini Nairobi, kiongozi wa Azimio aanza mikutano
    Makala hii imeangazia vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya waasi wa DRC, na pia hatua ya makundi ya waasi wa mashariki mwa DRC kusaini mkataba wa kusitisha vita, kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga aanza mikutano yake ya kisiasa, Uganda yapokea shehena ya kwanza ya chanjo za majaribio dhidi ya virusi Ebola, Ufaransa na Senegal zilitiliana saini kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia, Marekani na Urusi zilibadilishana wafungwa..
    21 min
  • Mazungumzo ya amani kuhusu Mashariki mwa DRC yafanyika Nairobi
    Makala hii imeangazia mazungumzo ya kusaka amani ya mlashariki ya DRC yaendelea kufanyika jijini Nairobi chini ya Jumuia ya afrika mashariki, Uganda yasema, maambukizo ya virusi vya Ukimwi yadhibitiwa, kinara wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga wiki hii aliikosoa hatua ya  bunge kuhusu makamishna wanne wa  Tume ya Uchaguzi, Kesi ya mauaji ya septemba 28 nchini Guinea, ziara ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron nchini Marekani.
    21 min
  • M23 wataka kukutana na Joao Laurenso, GMO yapingwa Kenya, wakaazi wa Ukraine gizani
    Makala hii imeangazia kauli la kundi la waasi wa M23 kutaka kukutana na msuluhishi wa mgogoro kati ya DRC na Rwanda rais wa Angola Joao Laurenso, Uganda yasema, maambukizo ya virusi vya Ebola, yameanza kupungua, kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wiki hii aliikosoa serikali kwa kukubali kuagizwa kwa mahindi yaliyotengenezwa kwa vinasaba maarufu kama GMO, nchini Mali serikali ya mpito ilitangaza kusitisha shughuli za mashirika yote yanayofadhiliwa na Ufaransa, pamoja na matukio mengine.
    21 min
  • Kenya yatuma wanajeshi mashariki ya DRC, mkataba wa amani Ethiopia pia siasa za Israeli
    Makala hii imeangazia hatua ya Kenya kuwatuma wanajeshi wake huko mashariki ya DRC baada ya waasi wa M23 kuyateka miji ya Rutshuru na Kiwanja huku juhudi za kidiplomasia kupatanisha nchi za DRC na Rwanda zikiendelea, pande hasimu nchini Ethiopia zafikia makubaliano ya amani, na uchaguzi wa wabunge nchini Israeili wampa ushindi waziri mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu, pia utasikia mengi zaidi.....
    21 min
  • Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari afikishwa Hague, Francois Hollande azuru mashariki ya DRC
    Utasikia mengi miongoni ni pamoja na kusikilizwa kwa kesi dhidi ya mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicien Kabuga, ziara ya rais wa zamani wa Ufaransa Francois Hollande mashariki ya DRC na pia mapinduzi mapya ndani ya mapinduzi mengine ya kijeshi nchini Burkina Faso, kimbunga Ian chahathiri maeneo makubwa Marekani na Cuba. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza mengi zaidi.
    21 min
  • William Ruto awa rais wa tano wa Kenya, Vital Kamerhe azuru mashariki ya DRC
    Katika makala hii tumeangazia kuapishwa kwa William Samoei Ruto, na kuwa rais wa tano wa nchi hiyo;  ziara ya aliyekuwa mkuu wa ofisi ya rais wa DRC Félix Tshisekedi, na kiongozi wa chama cha UNC Vital Kamerhe, mashariki mwa nchi hiyo, Cote d’Ivoire yaitaka Mali kuwaachilia huru wanajeshi wake wasiopungua 46, pia hali iliyoko Ukraine na siasa za Marekani, na mambo yanavyoendelea kwengineko duniani.
    21 min
  • Mahakama ya juu Kenya kusikiliza kesi ya kupinga uchaguzi, mishahara wa wabunge wa DRC
    Makala hii imeangazia hatua ya mahakama ya juu nchini Kenya wiki hii ilianza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi kama ilivyowasilishwa na kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga, mishahara minono ya wabunge wa bunge la taifa nchini DRC ilizua gumzo wiki hii, utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso wawataka wananchi kuungana ili kupambana na ugaidi. Wataalam wa UN siku ya ijumaa walifanya ukaguzi wa kwanza, katika kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia, huko Ukraine,na mengineyo.
    21 min
  • Odinga atinga mahakamani kupinga ushindi wa Ruto, Monusco yakataliwa DRC
    Makala hii imeangazia kuhusu kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga alivyowasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi William Ruto na kuwa rais mteule nchini Kenya, mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola huko DRC, muungano wa mashirika ya kiraia yalitangaza kusitisha ushirikiano wao na MONUSCO, Ziara ya rais wa Ufaransa Emmzanuel Macron nchini Algeria, zoezi la sensa lilizinduliwa nchini Tanzania, pia siasa za Marekani, Ukraine na kwengineko duniani.
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners