Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Uganda na Tanzania kuboresha biashara ya sukari, rais wa DRC ashutumu jeshi lake
    Makala hii imeangazia hali ya usalama kuendelea kuzorota mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu nchini Uganda, na namna alivyowahakikishia ahueni wananchi wa taifa lake, viongozi wa Afrika wakubaliana kuhusu mapambano dhidi ya ukame kwenye nchi zao pia hali ya mashambulizi na uvamizi wa Ukraine pamoja na mambo mengine.
    21 min
  • Wanajeshi 10 wa Burundi wauawa nchini Somalia, watu 12 wajeruhiwa jijini Kinshasa DRC
    Miongoni mwa habari kuu za dunia wiki hii ni pamoja na Burundi kusema wanajeshi wake 10 wanaohudumu kule Somalia chini ya mwavuli wa UN waliuawa katika katika shambulio la AlShabaab, waziri mkuu wa zamani wa DRC Matata Ponyo alitangaza nia ya kugombea kiti cha urais mwaka ujao, na ziara yake Katibu mkuu wa UN kwenye nchi za Afrika Magharibi, nakuondolewa kwa raia katika mji wa viwanda vya Vyuma huko Mariupol, Ukraine
    21 min
  • Mazishi ya M. Kibaki rais wa tatu wa Kenya jumamosi 30 aprili, waasi DRC watoa maoni
    Tumekukusanyia mengi, utasikia Kutamatishwa jijini Nairobi nchini Kenya, kwa mazungumzo kati ya serikali ya DRC na wawakilishi wa makundi yenye silaha katika nchi hiyo, wiki hii wakenya waendelea kumwomboleza aliyekuwa rais wao wa tatu Emilio Mwai Kibaki ambaye mazishi yake yanafanyika jumamosi ya tarehe 30 aprili 2022, siasa za ukanda lakini pia ziara yake katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres huko Kiev Ukraine
    21 min
  • Viongozi wa nchi za Jumuia ya Afrika mashariki na usalama wa DRC, kifo cha Kibaki Kenya
    Tumekukusanyia mengi katika Makala hii, utasikia mkutano wa Viongozi wa Nchi za Jumuia ya Afrika mashariki kuhusu Usalama wa Mashariki mwa DRC, kifo cha Rais wa Tatu wa Kenya MWAI KIBAKI pia Kura za mchujo katika vyama vya kisiasa nchini humo kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti, lakini pia Uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa Jumapili ya tarehe 24 Aprili mwaka huu
    Kwa Hayo na mengine mengi, andamana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka
    21 min
  • Wahamiaji haramu walioko ulaya kuhamishiwa nchini Rwanda, M23 kuaachia mateka wa FARDC
    Makala ya wiki hii imeangazia mambo mbali mbali ikiwemo makubaliano kati ya Rwanda na Uingereza kuhusu kuwahamisha wahamiaji haramu walioko Ulaya hadi nchini Rwanda, wapiganaji waasi wa M23 waahidi kuwaachia huru wanajeshi watatu wa jeshi la serikali waliotekwa nyara wakati wa mapigano huko Rutshuru mashariki ya DRC, na matukio mengine kwenye mataifa kadhaa ya ulimwengu. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi.
    21 min
  • Uhaba wa mafuta duniani, DRC yajiunga rasmi na Jumuia ya afrika mashariki EAC
    Katika makala hii tumekusanya mengi kutoka kapu la habari zetu wiki hii lakini kubwa ni hali ya kukosekana kwa mafuta katika mataifa kadhaa ya ulimwengu, inaelezwa ni kutokana na mapigano ya huko Ukraine, ziara ya rais wa DRC Felix Tshisekedi jijini Nairobi nchini Kenya, na uchaguzi mkuu wa nchini Ufaransa Jumapili ya tarehe 10 mwezi aprili 2022.
    Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.
    21 min
  • Viongozi wa Nato G7 na Umoja wa Ulaya waijadili Urusi na mashambulizi yake nchini Ukraine
    Mingoni mwa utayo yasikia ni pamoja na kinachoendelea katika vita vya Urusi na Ukraine, mkutano wa viongozi wa Nato, Umoja wa Ulaya na viongozi wa G7 huko Brussels.
    Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka kusitisha shughuli zake katika vijiji viwili vya Nizi na Bambu mkoani Ituri mashariki mwa DRC.
    Na wananchi wa Burundi wasikitishwa na hatuwa ya kusitishwa kwa shughuli za usafiri wa piki piki Bajaj na Beskeli katika jiji la Bujumbura.
    20 min
  • Urusi yawekewa vikwazo kwa kuivamia Ukraine, UN yapongeza DRC kwa kuimarishwa usalama
    Makala hii imeangazia matukio kadhaa huko Ukraine ambako hali ya wasiwasi ilitanda kote nchini baada ya Urusi kuvamia maeneo mkakati na juhudi za kidiplomasia na kimataifa kumaliza mzozo ulioibuka zinazoendelea, lakini pia mkutano wa viongozi wa Nchi za maziwa makuu kujadili mkataba wa Addis Ababa, kutamatika jijini Kinshasa DRC tumegusia pia maendeleo ya serikali za mpito nchini Chad na Mali pamoja na mambo mengine mengi. Karibu kuungana nami Ruben Lukumbuka katika kusikiliza zaidi.
    21 min
  • Mshauri wake rais wa DRC ahusikaye na usalama akamatwa, mbio za urais nchini Kenya
    Makala hii imeangazia hatua ya kukamatwa kwa Bwana Francois Beya, mshauri wake rais wa DRC Felix Tshisekedi katika masuala ya usalama, mbio za uchaguzi mkuu nchini Kenya, lakini pia kufunguliwa kwa magazeti manne yaliyokuwa yamezuwiwa huko Tanzania, likiwemo gazeti la Upinzani la Tanzania Daima pamoja na matukio mengine kadhaa ya juma hili duniani.
    Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi.
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners