Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • Mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso, kundi la M23 lashambulia mjini Rugari
    Makala hii imeangazia mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso, na hatua ya ECOWASS kuiondolea uanachama nchi hiyo, lakini pia mapigano kati ya waasi wa zamani wa M23 na jeshi la serikali ya DRC katika maeneo ya mpaka kati ya DRC na Rwanda kwenye mbuga ya wanyama ya Virunga, kijijini Nyesisi eneo la Rutshuru katika mkowa wa Kivu kaskazini, mashariki ya DRC. Wakimbizi wa Burundi waliokuwa Uvira warejea nyumbani na pia matukio mengine duniani.
    21 min
  • Watu10 wahukumia miaka 15 jela kwa kuwabaka wafungwa wa kike DRC, watu29 wauawa Liberia
    Makala ya juma hili imeangazia hatua ya mahakama moja kule DRC iliwahukumu kifungo cha miaka 15 jela kwa makosa ya kuwabaka wanawake wafungwa katika jela kuu la Kasapa kwenye mji wa Lubumbashi jimboni Katanga mashariki ya nchi hiyo. Uhaba wa mafuta nchini Uganda waisababishia serikali kuondoa marufuku upimaji na malipo ya lazima ya Covid-19 kwa madereva lakini pia mambo mengine mengi katika baadhi ya maeneo ya duniani..
    21 min
  • Wanafunzi warejea shule baada ya miaka miwili Uganda, kiongozi wa ADF akamatwa DRC
    Mamilioni ya wanafunzi walirejea shuleni kuanzia jumatatu ya January 10, baada ya shule kufungwa nchini Uganda kwa karibu miaka miwili, baada ya kuzuka kwa janga la Covid 19, ikiwa ndio nchi pekee duniani ambayo wanafunzi walikuwa hawajaanza masomo, kiongozi wa waasi wa ADF alikamatwa mpaka wa DRC na Burundi wiki hii, pamoja na mengine mengi. Kusikiliza zaidi ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka
    21 min
  • Spika wa bunge Tanzania Job Ndugai ajiuzulu, Uganda yawashambulia waasi wa ADF Huko DRC
    Makala hii imeangazia hatua ya spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kujiuzulu nafasi hiyo.akisema amemuandikia barua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi kujiuzulu nafasi hiyo, uamuzi ambao ameongeza kuwa  ameufanya kwa hiari, pamoja na mapigano yanayolenga kuwatokomeza waasi wa ADF huko mashariki mwa DRC pamoja na mambo mengine ni miongoni mwa yaliyoangaziwa kwa undani katika makala ya wiki hii, ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi.
    21 min
  • Watu zaidi ya 20 wauawa DRC, rais wa Tanzania Samia akutana na wapinzani, Omicron ulaya
    Makala ya wiki hii imeangazia mambo mengi yaliyojiri wiki hii katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, tukianzia nchini DRC ambako watu 20 waliuawa na waasi wa ADF katika eneo la Mambasa, rais wa Kenya alisema mchakato wa kuifanyika marekebisho katiba ya nchi bado imo ndotoni mwake, na kule Tanzania rais Samia Suluhu Hassan alisema yuko tayari kusamehe kauli aliyoitoa wakati wa mkutano wake na wapinzani. Ungana na mwandisi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi.
    21 min
  • Jeshi la Uganda kutoka DRC baada ya kuangamiza ADF, Dunia yapambana na Omicron
    Makala hii imeangazia kauli ya jeshi la Uganda (UPDF) kuwa halitaondoka mashariki mwa DRC hadi pale waasi wa ADF watakapotokomezwa. Rwanda imepokea faru weupe na kuwahifadhi katika mbuga Akagera, rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ayataka mataifa ya Afrika kushirikiana ili kupambana na kirusi cha omicron, lakini pia uchaguzi wa nchini Gambia na mengine mengi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi.
    21 min
  • Maandamano nchini Sudan, mauaji DRC na kirusi kipya chatokea afrika kusini
    Makala hii imeangazia maandamano yanayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan ambako wananchi pamoja na wawakilishi wa asasi za kiraia wamepinga makubaliano kati ya waziri mkuu Abdallah Hamdok na utawala wa kijeshi nchini humo, huko DRC miili ya watu 20 yaligundulika huko Ituri, kimataifa Uingereza na mataifa ya dunia yapiga marufuku safari za ndege kutoka mataifa ya Afrika na sasa Shirika la afya duniani (WHO) limetangaza aina mpya ya kirusi cha corona kuwa "ya kutia hofu" na kuipatia jina Omicron...Ni miongoni mwa mengi yaliyoangaziwa.
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners