Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii episodes

  • William Ruto rais mteule wa Kenya, raia wa DRC wapinga Monusco, na vita ya Ukraine
    Makala imeangazia kutangazwa kwa William Ruto kuwa rais mteule nchini Kenya, kutamatihswa kwa mkutano wa nchi za SADC jijini Kinshasa ambapo rais wa DRC Felix Tshisekedi ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa jumuia hiyo, kifo cha msanii wa Rwanda Yvan Buravan, Ufaransa yatupilia mbali tuhuma za Mali kuwa inawaunga mkono wanajihadi, siasa za Marekani, India na vita ya Ukraine, miongoni mwa mengine.
    21 min
  • Zaiara ya waziri Blinken nchini DRC na Rwanda, uchaguzi nchini Kenya na moto wa nyika
    Makala hii imeangazia ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken kule DRC na nchini Rwanda, lakini pia kushambuliwa kwa gereza kuu la Kakwangura mjini Butembo ambapo wafungwa zaidi ya 800 walitoroshwa na waasi wa ADF, uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Kenya agosti 09, ripoti ya HRW nchini Mali na kuzuka upya kwa Moto wa Nyika huko Ulaya. Kwa hayo na mengine mengi ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka
    21 min
  • Uchaguzi wa Kenya 2022, maandamano dhidi ya MONUSCO-DRC, China na Marekani mvutanoni
    Makala hii imeangazia kutamatishwa kwa kampeni za uchaguzi wa agosti 09 nchini Kenya, DRC yamfukuza msemaji wa Monusco, pia ripoti ya Umoja wa mataifa ikisema jeshi la Rwanda lilivuka mpaka kuwasaidia waasi wa M23, Muungano unaotawala huko Senegal ulipoteza viti Bungeni lakini pia Taiwan wiki hii ilisema ndege za kivita za China zimeingia katika eneo lake.
    Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi
    21 min
  • Tume ya umoja wa mataifa DRC Monusco yashambuliwa, Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya
    Katika makala hii utasikia kuhusu maandamano makubwa yaliyofanyika nchini DRC kutaka tume ya umoja wa mataifa Monusco iondoke nchini, mijadala kuhusu mdahalo wa kisiasa kwa wagombea wa kiti cha urais nchini Kenya, kuelekea uchaguzi wa agosti 09, ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Cameroon, Guinea Bissau, na Benin, lakini pia mahusiano kati ya China na Marekani.
    Kwa hayo na mengine mengi ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka
    21 min
  • Mabaki ya Lumumba kuzikwa jijini Kinshasa, wagombea wa urais Kenya watoa ilani zao
    Makala hii imeangazia mazishi ya mabaki ya shujaa wa uhuru wa DRC Patrice Lumumba yaliyofanyika jijini Kinshasa, huku nchi hiyo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 62 ya uhuru kutoka kwa mkoloni wake wa zamani Ubelgiji, kiongozi wa  muungano wa Kenya kwanza William Ruto wiki hii alizindua ilani ya muungano huo, ambapo pia kiongozi wa chama cha Roots Profesa George Wajakoyah, zimeangaziwa pia siasa za baadhi ya Nchi za Afrika magharibi, na kwengineko duniani.
    21 min
  • Mkutano wa EAC kuhusu DRC, Commonwealth Kigali, na siasa za Ufaransa
    Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mashariki jijini Nairobi wakijadili hali ya usalama wa eneo la mashariki ya DRC, kongamano la kimataifa la jumuia ya madola/Commonwealth jijini Kigali nchini Rwanda, watu zaidi ya 100 waliuawa na wanajihadi huko Mali, na huko Ufaransa chama cha Rais Emmanuel Macron kilipata pigo kubwa kwa kukosa ushindi katika uchaguzi wa wabunge nchini humo.
    Kupata mengi zaidi, ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka
    21 min
  • Diplomasia kati ya DRC na Rwanda kudorora, Uchaguzi wa Kenya, Umoja wa ulaya na Ukraine
    Tumeangazia maandamano ya raia wa Goma mashariki ya DRC, lakini pia mwanajeshi mmoja wa DRC aliuawa na maafisa wa usalama wa Rwanda wiiki hii, tume ya Uchaguzi Kenya kusema iko tayari kwa Uchaguzi wa mwezi agosti. Amnesty International na wasiwasi kuhusu hali ya kibinadamu nchini Mali, na ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na viongozi wengine wa ulaya huko Kiev nchini Ukraine; Umoja wa Ulaya waunga mkono juhudi za Ukraine kutaka kuwa mwanachama wake.
    21 min
  • Ziara ya mfalme Philippe wa Ubelgiji DRC, Uchaguzi nchini Kenya na hali ya vita Ukraine
    Tumekukusanyia mengi katika makala hii, utasikia kuhusu ziara ya mfalme Philippe wa Ubelgiji katika nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, kuidhinishwa kwa kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga na manifesto yake, rais wa Senegal na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall alikuwa mwalikwa wa RFI na France24 utasikia nini alichokisema pia hali ya mapigano ya jeshi la Urusi huko nchini Ukraine
    21 min
  • Mvutano kati ya Rwanda na DRC wachukua sura mpya, Mkuu wa AU akutana na rais Putin wa Urusi
    Tumekukusanyia mengi, utasikia Kuongezwa kwa muda wa operesheni za pamoja kati ya Jeshi la DRC na lile la Uganda UPDF dhidi ya ADF mashariki ya DRC, Mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Kalonzo Musyoka alirejea tena katika muungano wa kisiasa wa Azimio, baada ya kutangaza kujitoa, Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall rais wa Senegal, alikutana na rais wa Urusi Vladmir Putin, wiki hii, sherehe za kumbukizi ya siku ya kuzaliwa malkia Elizabeth 2 pamoja na miaka 70 tangu achukue madaraka..uvamizi wa Urusi nchini Ukraine kufikia siku ya 100
    21 min

About Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

From the publisher's feed

Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea…

More shows like Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Habari zote by RFI Kiswahili

Habari zote

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Siha Njema by RFI Kiswahili

Siha Njema

0 Listeners

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho by RFI Kiswahili

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Talisman Brisé by RFI Kiswahili

Talisman Brisé

0 Listeners