
Sign up to save your podcasts
Or


Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.
Jupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.
Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda.
Miongoni mwa vibao utakavyopokea ni pamoja na kutoka nchini DRC, Tanzania na kote duniani, skiza makala haya kwa uhondo kamili.Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto ndani ya Makala Muziki ijumaa.
Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania.
Kwa uhondo zaidi skiza makala.
Karibu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii
Karibu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili 28 2023
From the publisher's feed
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali.…

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners